Nafikiri wewe ndio huelewi somo {nini maana ya BRT?}MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli over 90% of buses in Tanzania have futurist body design na si those ugly buses from Kenya!MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi hona mtu muongo kama wa Kenya...Duuh.. Wakenya ni mazuzu kweli, sijui wanatoaga wapi ujasiri wakujipakazia vitu vizuri!
Sent using Jamii Forums mobile app
MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watu wanasimama duniani na kudanganya Mlima Kilimanjaro uko kwao Kenya watashindwa kudanganya mabasi yanayotembea yamefika kwao? WaKenya walidanganya hivyo ili nao pia wawe na kitu chochote cha kujivunia kuhusu BRT ya Dar.
Hawa watu ni Wapumbavu jamaa wa DART Mh Mhina alitaka kuingiza mabasi ya Kenya akakataliwa on the same ground hayakidhi vigezo. Waache wa-cram maana walitaka kutumia uagizwaji ule kulazimisha authorites Kenya kununua mabasi yao hovyo.
Anatakiwa anyang'anywe mradi wa DART Ila cha ajabu wanamuacha!Yaani anataka kuingiza mabasi toka Kenya? Huyo naye VP zarau sana , hivi aliwaza nn? Huyo labda mnisaidie kunielewesha? Plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Jpm hajamsikia nn, hawezi Fanya utoto huo bhana me nilidhani BRT phase zinazofuata ndio ziwe classic zaidi ya zilizopo sasa daah kweli JAMAA simuelewiAnatakiwa anyang'anywe mradi wa DART Ila cha ajabu wanamuacha!