Hivi ni nani aliwadanganya wakenya kwamba buses zetu za BRT walizitengeneza wao?

wanajitoa ufahamu....na sisi si tumewauzia dream liner na landing rights za US!
 
Kaka iyo ilikua b4 1970s. Now promo Ndo kila kitu, bax tusubir ukwel WA kuwa mlima kili upo kwetu ujitokeze tu from no where hiriar wenzetu wanautumia vlivo kuingiza kiasi kingi pengine kutushinda sie kupitia sector ya utalii

Promo inasimama kwenye ukweli tu,kwenye uongo ni ujinga unafanya sio promo hiyo.

Umlete mzungu na story zako za kuunga unga halafu akifika hapa akauliza anapandaje,utanjibu nini!!!!

At all utalii kwa sasa tumewaacha mbali sana.
 
They take everything their media feeds them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…