Hivi ni nani anachezacheza na tune ya Wimbo wa Taifa?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Huu unaoimbwa hapa sasa hivi bungeni wanapoahirisha si ninao ujua mimi.

Hili taifa bhana.

Yani hii tune niliosikia hapa ni ya hovyoo.
 
Huu sio ninaoujua mimi. Ndo nimeusikia hapo bungeni.
 
Mkuu blogger hata mimi kitendo cha kuchezea tune ya wimbo wetu wa taifa unaniudhi sana. Lkn pia tumefundishwa toka mashuleni wkt wakuimba wimbo huu tunatakiwa kusimama wima kwa ukakamavu huku mikono ikiwa imeshuka chini. Lkn sasa hasa timu zetu za taifa unakuta wana weka mkono wa kulia kifuani, ni nani anaebadilisha haya mambo bila kutushirikisha?
 
Sijui kwakweli..
 
kushirikishwa?
 
Hayo yote ni mapigo tu wimbo ni uleule ujumbe ni ule ule, uweke mkono kifuani au usimame wima haipunguzi wala kuongeza uzalendo wa mtu. Mzalendo wa kweli ni yule anailipenda taifa lake na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake
 
Back
Top Bottom