Sijui kwakweli..Mkuu blogger hata mimi kitendo cha kuchezea tune ya wimbo wetu wa taifa unaniudhi sana. Lkn pia tumefundishwa toka mashuleni wkt wakuimba wimbo huu tunatakiwa kusimama wima kwa ukakamavu huku mikono ikiwa imeshuka chini. Lkn sasa hasa timu zetu za taifa unakuta wana weka mkono wa kulia kifuani, ni nani anaebadilisha haya mambo bila kutushirikisha?
kushirikishwa?Mkuu blogger hata mimi kitendo cha kuchezea tune ya wimbo wetu wa taifa unaniudhi sana. Lkn pia tumefundishwa toka mashuleni wkt wakuimba wimbo huu tunatakiwa kusimama wima kwa ukakamavu huku mikono ikiwa imeshuka chini. Lkn sasa hasa timu zetu za taifa unakuta wana weka mkono wa kulia kifuani, ni nani anaebadilisha haya mambo bila kutushirikisha?