Hivi ni nani wa kwanza kushiba?

Hivi ni nani wa kwanza kushiba?

Habari Wadau,

Kwa kawaida katika swala zima la Mahusiano ya kimapenzi aidha baina ya Wanandoa, au Wachumba wanaoishi pamoja au wale Wana Waliovuta Mtoto wa Kike(Demu) na kuishi nae Geto.

Kwa kawaida kunakuwa na zile Moment za hao wapendanao kuwa wanakula pamoja nyumbani aidha chakula cha mchana au jioni

Sasa katika Moment hizi wakati mnakula pamoja. Je, kihalisia nani anayestahili kuwa wa kwanza kushiba? Yani kumuachia Mwenzake chakula.

1)Mwanaume ndiye anayestahili kushiba na kumuachia Mwanamke Chakula? Au

2)Mwanamke ndiye anayestahili kushiba na kumuachia Mwanaume chakula. Au

3)Wote wale Mpaka Mwisho, au wote wale hadi watakapojihisi wameshiba kwa pamoja? Au

4)Mmoja aanze kushiba na mwengine aendelee kidogo na msosi kisha ashibe aache chakula?

Nipeni Majibu wataalamu.

Maana kuna baadhi ya wanawake wako vizuri kwa kula kama Wanaume jinsi wanavyokula au hata kushinda Wanaume.
Mnapenda kulakula sana hadi mnavimbiwa na hivyo viporo. Yani thread nyingi siku hizi ni kuhusu msosi tu. Ungeonekana wa maana ungewasifia wakulima wanaokufanya ushibe. Usidhani ni kazi ya kitoto watu wanajipinda na kujituma kichiz shambani ili wewe ushibe hapo ulipo. Halafu hamna shukran.

kikiboxer ngenya Mzee Shirimaa Ncha Kali
 
Hata hili pia tunalitizama?
Personaly sijawahi kua serious ku observe hii kitu, lakn nshamwambia mama chanja apike chakula cha kutosha every time. So tukila pamoja hua anakata pumzi mapema lakn haondoki eneo la tukio mpka nmalize kula
 
Wewe bwana mdogo lini umekuwa na life ya kujisavia chakula [emoji16]
Upo darasa la ngapi? By the way chakula mezani kila mtu anajisevia Kwa kipimo chake, sijui unaishi maisha ya aina gani?

Hata kwenye shuguri za misiba hitima na maulidi watu wameadvance kila mtu anagaiwa sahani yake hakuna ile gombania goli ya sinia.
 
Mnapenda kulakula sana hadi mnavimbiwa na hivyo viporo. Yani thread nyingi siku hizi ni kuhusu msosi tu. Ungeonekana wa maana ungewasifia wakulima wanaokufanya ushibe. Usidhani ni kazi ya kitoto watu wanajipinda na kujituma kichiz shambani ili wewe ushibe hapo ulipo. Halafu hamna shukran.

kikiboxer ngenya Mzee Shirimaa Ncha Kali
Tulia wewe mkaldayo watu wale washibe.

Wabongo ndio mawazo yetu tule tushibe tunyanduane siku ziende habari za kuvumbua system tunawaachia huko nyie.😂
 
Tulia wewe mkaldayo watu wale washibe.

Wabongo ndio mawazo yetu tule tushibe tunyanduane siku ziende habari za kuvumbua system tunawaachia huko nyie.[emoji23]
[emoji3] Mpe mpe huyo, hakujui huyo. Hajui hadi yeye kuwepo hapo imetokana na watu kula na kunyanduana.
 
Inategemea na nini kimepikwa kama ni ndizi ,kabichi,matambi,mabiringanya lazima nianze kushiba yeye atajijua kama aendelee au aache.
 
Hakuna kanuni Bali ni upendo wenu tu na haja za matumbo yenu. Ila ni vyema mkawa na Uhuru
 
Inategemea na Ntu na Ntu.
Mimi babe wangu hapendi kula mwenyewe nyumbani, na anajua mimi sio mlaji kiviiile.
So tukiwa tunakula nashiba zangu namwacha anaendelea. Ila sitoki mezani mpaka na yeye amalize.

Na siku akishiba mapema kabla yangu huwa anapata tabu sana, maana nitamlisha hadi na mimi nishibe.
Wow , ungekuwa baby wangu tungekufa njaa aseeeh- maana hapo kwa msosi nina uvivu sana na machaguzi mno , nisaidike tu siku moja.

Ila nyama choma na michemsho napenda sana
 
Ila kufuatiliana mpaka namna ya kula siyo sawa
 
Heee mpaka kushiba ni Topic?

Au ni bei ya vyakula mtu anatafutiwa sababu?[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom