Hivi ni nguvu za uume au za kiume?

Hivi ni nguvu za uume au za kiume?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Wasalaam wana JF

Hii habari ya nguvu za kiume naona kama iko general sana. Mwanamke akiwa na nguvu nyingi, hizo nguvu zake zinaweza kufananishwa na nguvu za kiume.

Bali nguvu za uume ni mahususi kwa ajili yetu akina baba.

Ruksa kupovuka kidigitali
 
Nguvu ya kiume ni fedha
Nguvu ya uume ni uwezo wa kufanya tendo; kwa hiyo, lugha sahihi ni nguvu ya uume kama ulikuwa unamaanisha uhusiano.
 
Nguvu ya kiume ni fedha
Nguvu ya uume ni uwezo wa kufanya tendo; kwa hiyo, lugha sahihi ni nguvu ya uume kama ulikuwa unamaanisha uhusiano.
Nakubali, nguvu za kiume ni fedha, umeeleweka kwa upesi
 
Back
Top Bottom