Korikori na wewe mpaka kieleweke tu mkubwa. Shikamoo lakin JoseverestMkuu hivyo vitu nakumbuka nilikuwa nafanya nikiwa ya utotoni
Ahahaha mkuuKorikori na wewe mpaka kieleweke tu mkubwa. Shikamoo lakin Joseverest
Aisee..hilo ni tatizo la kisaikolojia mkuu na hali ya maisha labda inafanya hivyoHuko nishavuka mkuu
HahahahhahahSijui niseme ni ugonjwa au ni mazoea yaani nimejikuta napenda sana milio ya magari makubwa makubwa kama scania ikipanda mlima au haya ya mwendo kasi yakisimama pale linapoanza safari yaani najikuta nasikilizia linavyoenda hadi nabududika wakati mwingine hata coaster nazo kuna baadhi nimekuta navutiwa na hiyo milio msaada wakuu hivi ni ugonjwa au ndo hali ya maisha inachangia
engineplease consult the nearby doctor. may be your heart is made with car engene.
thenkiyuuengine
thenkiyuuengine
Aisee usintie machungu, napenda milio ya landcruiser hasa ule wa Engines za HDJ80 na HDJ100...Ukiangalia sana utagundua mlio wa hizo gari unafanana kabisa na wa zile Toyota Coaster deluxe.Huwa naskia raha tu zinavyovumaare you a car guy? if yes, ni kawaida tu.
mimi binafsi napenda sauti ya anti-lag, turbo flutter, na turbo spool. enzi za utoto nilikuwa nafurahia kupita kiasi sauti za sport mufflers.
by the way, hakuna mlio wa engine ninaoupenda baada ya mlio wa boxer engine kama mlio wa inline 6 na v8 turbodiesels.
best engineering achievement
Teh teh landcruiser (kasoro v8) inashea engine na coaster mkuu (1hz, 1hdt, )Aisee usintie machungu, napenda milio ya landcruiser hasa ule wa Engines za HDJ80 na HDJ100...Ukiangalia sana utagundua mlio wa hizo gari unafanana kabisa na wa zile Toyota Coaster deluxe.Huwa naskia raha tu zinavyovuma