Hivi ni nini husababisha mtu kupenda milio ya magari

Hivi ni nini husababisha mtu kupenda milio ya magari

Teh teh landcruiser (kasoro v8) inashea engine na coaster mkuu (1hz, 1hdt, )
Sema zile cruiser 200 ama toleo kuanzia kilimo kwanza na kuendlea (Vx V8) hata sizipendi mlio wake mkuu, naona umekaa kiboya haueleweki yani utadhani sio muscle car!
 
Only car guys wataelewa anachokiongelea mleta mada.
 
Back
Top Bottom