Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Sioni ajabu kwa sababu kabla ya ndoa kila mtu anakuwa na mahusiano mengi na si kila mahusiano lazima kila mmoja awajue wahusike! Mbona wengi siku hizi ndio wanakuwa kwenye kamati za maandalizi ya harusi!!!!????
With hidden intentions; Eti yale yalikuwa ni zamani! Ngumu sana kwetu ngozi nyeusi! Huku nikujiweka jirani na majaribu! na kwa kweli kama wewe umeendekeza hii tabia basi umemkosea vilivyo mwenzi wako; na kama wewe ni rafiki wa muhusika basi wewe umesaidia kuiharibu ndoa ya wenzenu!
Kwa nini tunakubali kuchamgamana na dhambia namna hii? yaani unajua kuwa ni x na wamebreak cjui bado wanaendelea chinichini halafu mnawapa na kamati za harusi; kuna harusi imedumu miezi m2 na ni matokeo ya mchezo huu! Sisi tujua uchafu huu na kuufunika ni collaborators na hakika hukumu yetu inatusubiri! kwa kuwa tumemchezea Mungu na kuikebehi sacrament takatifu ya ndoa!