Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
shikamoo muhimu hasa kama amempata kwa hela!! huyo hawezi kupata jeuri ya kulonga vingine
kwani ni nsiri kuwa majority hukimbilia wenye michuzi!!!!!!!!!!
Kwani maana ya shikamoo ni nini?.achilia mbali mke na mume,mimi hata kwa mtoto kumwamkia mkubwa shikamoo pia siielewi,sasa jamani kama kuna mtu anajuwa maana ya shikamoo tafadhari aiweke wazi hapa
shikamoo ilitumika enzi za utumwa za mwarabu.....maana yake ni" niko chini ya miguu yako"
shikamoo ni mojawapo ya eshima
mhhh mi nina kabinti kule vikindu kananimwagia shikamoo kila dakika.Shkamoo inahusika sana
kusema ukweli ukweli sijawahi kumuamkia mme wangu shikamoo,tukiamka asubuhi namuuliza umeamkaje ......Yakhe, shikamoo ni hishma kwa mume bila kijali umri haswa kwetu wa mwambao. Mkeo asipokuamkua basi ujue huyoo keshaanza ustaarabu wa bara au wa kimagharibi kusikokuwa na salamu ya mkubwa wala mdogo. Shkamoo ni shurti itolewe na mke.
skamooni wooote humu!
mimi sijambo.