Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Wakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Binamu nyama ya hamu...
Unapiga tu afu ndoa zake hudumu balaa maana mkiachana bado mko ukoo mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Bora ampige sound GiresiKwa uroho wenu huo mtakula na nyama ya vinyonga[emoji196][emoji1656]
Hata kama historia inaonyesha kua sisi sote ni ndugu lakini kati ya kitu nisichoweza ni kama hicho,wanawake/wanaume wako wangapi mpaka nikawe na mtoto wa shangazi au mjomba ilihali hao wote ni wazazi?ni upuuzi na uchafu tu
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kabisa ila atume nauli na hela ya kutokea.
Nitumie namba zake mkuuWakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye