Hivi ni sahihi kutoka kimapenzi na huyu binamu yangu?

Kikwetu (WAHAYA) tunaamini mtoto wa shangazi ni mwanao yaani inabidi akuite mjomba au mama mdogo kwani wewe na mama yake ( shangazi) ni ukoo mmoja!! Hivyo hivyo kwa watoto wa mjomba, wa kike ni mama mdogo na wa kiume ni wajomba kwani wana ukoo wa mama yako
 
duuuuu cjajua kama ni halali au laaa kama kabira lenu linaruhusu pambana naye mjomba
 
Threads za mwaka 2100 huku jamiiforum zitakuwa na kichwa cha habari kinachosomeka hivi: "Ni sahihi kwa mimi mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

na ndizo zinazokuja. ila ukifungua thread yenye umuhimu zinafutwa

na zinapigiwa chapuo ni hizi hizi, umalaya, ngono, kulala na dada mtu, shangazi, binamu, kufanya ngono kimasihara n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…