Hivi ni sahihi kuumia kwa ajili ya penzi la mchepuko?

Mfia nchi

Member
Joined
Jul 18, 2019
Posts
89
Reaction score
164
Wakuu mimi nina mke na nina watoto na mke wangu. Pia nina mwanamke mwingine nilizaa naye. Mkipitia nyuzi zangu za nyuma nilishalileta kwenu hili swala, na mlinishauri vizuri tu.

Kwa kukumbushia kwa wale ambao hawakusoma uzi wangu, ni kwamba huyu sijui nimuite mchepuko, japo huwa sijisikii vizuri kumwita mchepuko maana ni mama wa mwanangu, nimedumu naye kwa miaka minne. Mwaka jana niligundua anatoka na mwanaume mwingine nikaamua kuachana naye.

Nikahamishia mapenzi yote kwa wife. Furaha ndani ya ndoa ikarudi. Wife akawa ni mtu mwenye furaha sana. Miezi minne baada ya kumwacha huyu mzazi mwenzangu alinitafuta. Aliniomba msamaha na kuniomba turudiane. Alinielezea jinsi alivyotendwa na jamaa. Japo nilikuwa mzito kukubali kumrudia nikikumbuka maumivu aliyonisababishia, ila baada ya kufikiria vizuri, na kukumbuka tulikotoka nikaona acha tu nipashe kiporo, isitoshe pia nina mke hivyo haina haja ya kumuonea wivu mwanamke ambaye sio mke wangu.

Tumeendelea kuwa pamoja kwa muda wa miezi saba hivi tokea turudiane japo migogoro ya hapa na pale imekuwa ikijitokeza. Hivi karibuni huyu mwanamke ameanza tabia ya kukataa kufanya mapenzi. Mnaweza kupanga siku flani mkutane mfanye yenu lakini siku ikifika analeta visingizio.

Hali hii imepelekea niamue kuachana naye japo kiuhalisia naona yeye ndio ameamua kuniacha, maana kama hataki kufanya mapenzi anategemea nini. Kwa hiyo nimekata shauri nimwache tu maana naona kama nimekuwa mtumwa wa mapenzi, nimekuwa mtu wa kumbembeleza kila mara ili tufanye mapenzi ila yeye hata hajali. Tatizo roho inaniuma kweli, akili haifanyi kazi kabisa, najihisi nimepata msongo wa mawazo. Hamu ya kula sina na kila kitu naona hakiendi kabisa.

Najitahidi kuchangamka humu ndani ili wife asihisi kama kuna kitu kinanisumbua. Wanaume wenzangu, hivi hali hii ya kuzama kwenye penzi la mzazi mwenzako inakuwaje? Naomba mnishauri namna nzuri ya kusonga na maisha, mwenzenu napata tabu.
 
Emotional pain will grow less as time passes.
Just hang in there buddy.

Jitahidi kua bze ili usimuwazie sana e.g Anza mazoezi jioni na asubuhi, go out, have fun with your family or friends ili uwe na less time to think abt her. Wiki 4 nyingi utakua ushazoea na kuona sio issue.
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema

Mimi mfia nchi ni bonge la falaaa


Masikin, Demu keshakuwekea tego sasa unateseka

Matokeo yake hata mkeo utamwona boyaaaaaa



Sema sio mbayaa...


Bad Boys tupo kuwapa Faraja wake zenu[emoji8][emoji8]
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema

Mimi mfia nchi ni bonge la falaaa


Masikin, Demu keshakuwekea tego sasa unateseka

Matokeo yake hata mkeo utamwona boyaaaaaa



Sema sio mbayaa...


Bad Boys tupo kuwapa Faraja wake zenu[emoji8][emoji8]
Mkuu nakuaminia sana hapa JF. Huwa unatoa ushauri konki sana. Mwenzio napitia kipindi kigumu sana. Nimekamatika. Kama una cha kushauri naomba kaka.
 
Shukrani mkuu kwa ushauri. Unadhani hii ni hali ya kawaida au nina tatizo sehemu?
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema

Mimi mfia nchi ni bonge la falaaa


Masikin, Demu keshakuwekea tego sasa unateseka

Matokeo yake hata mkeo utamwona boyaaaaaa



Sema sio mbayaa...


Bad Boys tupo kuwapa Faraja wake zenu[emoji8][emoji8]

Siku ya kupakwa wese uje utoe mrejesho
 
Watu wanatwangana kisa wauza baa ile kitu haina mbabe
 
Siku ya kupakwa wese uje utoe mrejesho
Jambo msilolijua ni moja. Nahili mlielewa vzuri bila ivo mtaendelea kugongewa .


Ngono ni tendo linalounganisha Roho yaan nafsi, ndio mana ngono inazaa kifo. Ngono inazaa uhai wa mtu.


Sasa basi mnapochepuka, mnasababisha mvurugano wa kiroho uliokuwepo kati yako na mkeo.

Lkn pia, Unabeba nafsi nyingine kuileta ndani kwa mkeoo



Hujiuliz kwann mwanamke alozaa akigongwa na jamaa mwingine, anamuharibu mtoto???

Au hujiulizi kwann zaman, ilikus ukichepuka, kuna majani ya mitishamba unayaoga?.



Sasa niivi, Ukiona umeanza kuchepuka

Nasikitika kukuambia Mkeo naye atapigwa pumbuu tu, yaan hiyo haina mjadala, uwr unataka, uwe hutaki , ATAPIGWA PUMBUU bwasheee!!!!



Sasa hayo ya kutembea na K-Y hujs baadae , nandio yaleyale yakufungwa maisha, muhuni anaendelea kuila papuchi ya mkeo[emoji23][emoji23]
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema

Mimi mfia nchi ni bonge la falaaa


Masikin, Demu keshakuwekea tego sasa unateseka

Matokeo yake hata mkeo utamwona boyaaaaaa



Sema sio mbayaa...


Bad Boys tupo kuwapa Faraja wake zenu[emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeh wee una nini lakini khaaaah.
 
Hiyo paragraph ya mwisho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mie huku sina mbavu wallah.
Ila umeshauri vema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu weeeeeh, ila wee hapan kwa kweli sikuwezi. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema

Mimi mfia nchi ni bonge la falaaa


Masikin, Demu keshakuwekea tego sasa unateseka

Matokeo yake hata mkeo utamwona boyaaaaaa



Sema sio mbayaa...


Bad Boys tupo kuwapa Faraja wake zenu[emoji8][emoji8]
Ingefaa iwe mfia uchi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu weeeeeh, ila wee hapan kwa kweli sikuwezi. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
ndo ivo Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…