Hivi ni sahihi kuumia kwa ajili ya penzi la mchepuko?

Love takes time to heal when you're hurting so much.
 
Hii kitu inanikumbusha mshkaji wangu flan alinisimulia kuwa kuna manzi alikuwa anamtosa kumpa mzigo kumbe mdada mgonjwa yaani jamaa anafanya kila kitu ila akitaka kuchukua kuchomeka yaani manzi anakuwa mkali na issue zinaishia hewani hapo hapo ila kuna siku manzi akamchana mshkaji kuwa mm naumwa ndiyo maana nakubania nimekuona ni mtu mwema kwangu so sijataka kukuumiza!! Manzi akamshauri jamaa, usimuamini kila demu unayekutana.... jamaa alipoa na manzi akanywa dawa mbele ya mshkaji kumuonyesha ni true alichomwambia na vyeti juu, so MUNGU akiwa kazini tuwe wapole........
 
Kinachokuuuma hapo,ni NAFSI.unajihis kama umemkosea,hauko na aman,nenda mtoe out mchepuko/mzaz mwenza...alaf mpe pipe ya maaana haijawah tokea,then ukimaliza hapo kama kimnyaaa usimtafute tena.Ataanza kujirud yeye na wewe utakuwa stress free....ukifanya hvyo basi hata kama AMEKUWEKEA TEGO,AU DAWA ITAISHA NGUVU...maaana roho yake itashiba kwa upendo uliomshibisha kwa Outings nzuri,chakula kizuri na pipe ya nguvu.Thanks me later
 
Wanaume ndio maana mnakufaga siku si zenu loh
 
Sijui niite udhaifu au kukosa focus, lets make this clear, Nadhani huyo ndio alipaswa kuwa mke wako alafu ulie nae kama Mkeo ndio awe mchepuko wako

sounds weird ila nadhani Hali ilipaswa kuwa hivyo. Getting mad coz of Side chick au co Parent mwenzio ni madness, Kama Dini yako inaruhusu oa wote tu sio kuteseka na kitu you have no right with rather responsibilities kama mazazi mwenza.
 
Dah ungekuwa karibu yangu ningekulipia Pepsi wallahi,maana sidhani Kama kuna hata nukta uliyo ibakiza japo ninaamini kuna watu watakuja kukupinga maana binadam ni shida.
 
Subiria baada ya miezi saba atakutafuta Tena.
 
Haya yote yasingekuwepo kama tungeendeleza mila zetu za polygamous marriages. Sasa mke wa pili/mdogo anaitwa mchepuko!
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa,imagine unakonda mbele ya mke wako kisa penzi la mchepuko limeingia shubiri!
 
Mchepuko kakushika pabaya mkuu pole ila acha kujiendekeza kuwa busy na familia yako utamsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…