Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Kuna weee na bichwa... Mpo hovyo sana hasa likija swala la topic za ajabu humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikijaribu ku behave, moyo unanambia "wee coca acha upuuzi hufanani na ustaarabu, hebu chachuka bhana"

Bas anakuja Jini heka heka ni full manjegeka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa naitazama, nikakutana na the same scenario.

Moja ya mambo ambayo yalikuwa yanawagombanisha wanandoa kwenye movie hiyo ni swala la mwanamke kunyonya mkuyenge wa mumewe BAADA YA NDOA. Mwanamke hakutaka kabisa kufanya jambo hilo BAADA ya ndoa wakati KABLA ya ndoa mwanamke alikuwa hodari sana kwenye hilo eneo.

Argument ya mwanamke ni hii, kwamba hiyo ni ya malaya, yeye ni mke na sio malaya. Mwanaume akamuuliza, mbona kabla ya ndoa alikuwa anamnyonya Kwa ujuzi wa hali ya juu? Mwanamke akamjibu, alifanya hivyo kwasababu alimuona mwanaume anapenda sana hicho kitu so akalazimika amfanyie (lakini nyuma ya pazia ni kama alimaanisha alimnyonya ili apate ndoa).

Mwanaume ikabidi akamuulize rafiki yake sana wa kiume, rafiki yake akamjibu yeye mkewe anamnyonya kabla na baada ya ndoa, kwasababu kile kitendo kinachochea hamu ya tendo. Jamaa ndio akazidi kuwa kichaa akidhani ananyimwa haki yake ya msingi.

Sasa swali langu kwenu wanandoa, hasa vijana, hivi kumuomba mkeo akunyonye ni kumvunjia heshima na kumfananisha na malaya au ni sehemu tu ya mapenzi/tendo?

Nadhani Kuna watu wanatamani kupata majibu sahihi kaka mimi.
Watoto wadogo...Kueni kwanza kwa kifupi kwenye Ndoa ndio sehemu sahihi ya hayo mambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ukipata shangazi kuwa strategic partnership with huyo shangaziii, yaan dumu nae acha kulanda landa.

Utajikutaa unakua mtumwa tyuu wa wastaafu wa kike, afu upo apeche alolo, tengeneza life weyeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sis natengeneza mbona...
Ila suala la kuwa partnership hiyo ngumu kwa kweli...
Siwezi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah!! Sasa unakuta anakuambia "shika bas chezea chezea isisimke"

Akat wee hata humkubali kivilee, bas unakamata unapalaza palaza km pedel ya baiskeri, isisimke au laah atajua yeye, km vipi aweke magadi iumuke, hata tusichoshane bhana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magadi tena jamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie wadada wengine ni magaidi kabisa kumbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa je....
Ndo mana naona unapanga na kupangua hoja bila papara,,,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo bado wizo akija atakua catalyst
Potassium iv oxide
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua huu ucharuko wangu ulinifanya nkampata mkaka decent, daah sema hakua na taste pia kuna qualifications hakua nazo, nlimuachaaa.

Ila yulee aaah bas tyuu. Aishi sana hana bayaaa.
 
Yaaah yaaah basi mimi mkuu hawa viumbe nawafatilia ila pia unajua naiga wametuzidi kwenye uwandishi wa story..

Angalia movie za hawa watu unakuta movie hadi inaisha wahusika hawazidi watano na location ni kama tatu tu ila sasa humo ndani daaah

Kwenye cover zao kule youtube aiseee ni safiii zina vutia...
Wabongo bado tunapuyanga sana kwenye hii industry [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom