Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

ileee nayoooo n ibadaaaaa kuoata mtu wa kukunyatuaaaaa Auchinleck na mate kwanza una nyotaa ya hidayaaaa mheshimu sana
 
Ukinyonywaaa uchii ujuee unanyota ya hidaya ukiona hata kushikwaa uchi ushikwi au mwoga nyota ya tausi imekushikilia
 
Jambo la kawaida sana hilo, turudie somo la hypergamy na Briffaults Law:

The female, not the male, determines all the conditions of the animal family. Where the female can derive no benefit from association with the male, no such association takes place.
Mkuu hebu fafanua kidogo tafadhali [emoji1][emoji1]
 
Sehemu za siri zina bacteria maalumu za kulinda uhalisia wake, unaponyonya unawahamishia mdomoni ambapo sio mahali pake. Mdomo utakuwa mwekundu kama mkaa uliokolea, utafikiria ni fungus kumbe ni hao wadudu. Ni tabia mbaya! Acheni hizo!!!
 
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa naitazama, nikakutana na the same scenario.

Moja ya mambo ambayo yalikuwa yanawagombanisha wanandoa kwenye movie hiyo ni swala la mwanamke kunyonya mkuyenge wa mumewe BAADA YA NDOA. Mwanamke hakutaka kabisa kufanya jambo hilo BAADA ya ndoa wakati KABLA ya ndoa mwanamke alikuwa hodari sana kwenye hilo eneo.

Argument ya mwanamke ni hii, kwamba hiyo ni ya malaya, yeye ni mke na sio malaya. Mwanaume akamuuliza, mbona kabla ya ndoa alikuwa anamnyonya Kwa ujuzi wa hali ya juu? Mwanamke akamjibu, alifanya hivyo kwasababu alimuona mwanaume anapenda sana hicho kitu so akalazimika amfanyie (lakini nyuma ya pazia ni kama alimaanisha alimnyonya ili apate ndoa).

Mwanaume ikabidi akamuulize rafiki yake sana wa kiume, rafiki yake akamjibu yeye mkewe anamnyonya kabla na baada ya ndoa, kwasababu kile kitendo kinachochea hamu ya tendo. Jamaa ndio akazidi kuwa kichaa akidhani ananyimwa haki yake ya msingi.

Sasa swali langu kwenu wanandoa, hasa vijana, hivi kumuomba mkeo akunyonye ni kumvunjia heshima na kumfananisha na malaya au ni sehemu tu ya mapenzi/tendo?

Nadhani Kuna watu wanatamani kupata majibu sahihi kaka mimi.
La kufanya hapo tafuta mchepuko wa kunyonya halafu usimwambie tena utaona mwenyewe atakufanyia tu
 
Back
Top Bottom