Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Kuna njia waweza kuitumia kufanya mambo na ukawa katika furaha na amani moyoni .

Jambo lolote ukitaka kulifanya ukaona unajihisi Guilty (hatia) hilo jambo usilifanye Ila ukiona you don't feel guilty you can just do it.

Swali lako ni zuri Ila halina majibu ya moja kwa moja.

Wapo watakaosema ni sahihi
Na wapo watakao sema they feel guilty .

Ikiwa jambo ukitaka kulifanya unajihisi utapata hatia usifanye maana litakupa madhara negative.

Kama umefatilia vizuri waweza kuelewa mfumo mzima wa uendeshaji wa mambo yako upo hivyo.
 
Mwanamke anatakiwa 1. Jikoni awe mpishi wa 5 star Hotel 2. Chumbani kwenye kufanya mapenzi awe zaidi ya Malaya wa cona bar au Kimboka.
 
Mimi nadhani mambo wanayofanyiana wapenzi kabla ya ndoa na kama wote wanafurahia basi wasiache hata baada ya kuingia ndoani.
I think you have a point Kelsea.

This is my hypothesis formulation kwamba, inawezekana Moja ya sababu kubwa ya ndoa nyingi kuvunjika ni baada ya mke/mume KUACHA kumfanyia mpenziwe alivyokuwa anamfanyia kabla ya ndoa.

Pengine vile vya kabla ya ndoa ndio vilivyoleta matokea ya ndoa, Sasa visipokuwepo ndoa inageuka dhahama!!!
 
Popo kanyea mbingu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Ila mkuu umezungumza jambo la msingi sana. Vile vya kabla ya ndoa viendelee baada ya ndoa (lakini tusisahau mapatano).

Thanks in advance!
 

Ijapokuwa sipo ndani ya ndoa lkn kwa nayoyaona na kusikia upo sahihi.
 
[emoji120][emoji120]

Asante sana mkuu. Mara nyingi hii ni kanuni yangu kwenye maisha.

Nadhani umezungumza kila kitu.
 
Binafsi wife kashawahigi huko nyuma kutaka kunyonya, kiukweli nilimuzuia kidizaini fulani then nikashika hatamu na kumpa hukumu ya haki yake.

Kwangu binafsi naona ni utumwa kwa kweli na mara nyingi wanawake huridhia kwa ajili ya kumgurahisha mwanaume.

Kwa sasa na na hali hizi za UTI ndio nazidi kuona ni unyama kumpa mwanamke rungu alisuuze kwa ulimi baadala ya papa!!

Anyway, mapenzi ni uchafu!!

NB- hata mwanamke kumnyonya uke binafsi sitaki pia!!

Kuna mambo watu tunaiga na kufanya ilihali machimbuko yake ni biashara za wauza uchi na watengeneza porno ili waingize fedha.

Kuna mambo ni ya mtaani huko na kwenye umalaya,ndoa ni taasisi takatifu, baadhi ya mambo ya hovyo hayapaswi kufanywa kua ni haki ya ndoa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…