Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Binafsi wife kashawahigi huko nyuma kutaka kunyonya, kiukweli nilimuzuia kidizaini fulani then nikashika hatamu na kumpa hukumu ya haki yake.

Kwangu binafsi naona ni utumwa kwa kweli na mara nyingi wanawake huridhia kwa ajili ya kumgurahisha mwanaume.

Kwa sasa na na hali hizi za UTI ndio nazidi kuona ni unyama kumpa mwanamke rungu alisuuze kwa ulimi baadala ya papa!!

Anyway, mapenzi ni uchafu!!

NB- hata mwanamke kumnyonya uke binafsi sitaki pia!!

Kuna mambo watu tunaiga na kufanya ilihali machimbuko yake ni biashara za wauza uchi na watengeneza porno ili waingize fedha.

Kuna mambo ni ya mtaani huko na kwenye umalaya,ndoa ni taasisi takatifu, baadhi ya mambo ya hovyo hayapaswi kufanywa kua ni haki ya ndoa!!
[emoji120][emoji120]

Asante sana mkuu kwa kuwasilisha vema hoja yako. Barikiwa.
 
Ila za kipindi hiki wanazingua sana si nzuri kama zile za zamani. Nadhan labda sababu ya ujio wa waigizaji wapya waliokosa vionjo kama wale wa zamani.
Zipo mkuu.

Kuna waigizaji wapya wakina UCHE MONTANA, RAY EMODI, MAURICE SAM n.k, ni balaa! Wako vizuri mno [emoji91]
 
Back
Top Bottom