Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa naitazama, nikakutana na the same scenario.

Moja ya mambo ambayo yalikuwa yanawagombanisha wanandoa kwenye movie hiyo ni swala la mwanamke kunyonya mkuyenge wa mumewe BAADA YA NDOA. Mwanamke hakutaka kabisa kufanya jambo hilo BAADA ya ndoa wakati KABLA ya ndoa mwanamke alikuwa hodari sana kwenye hilo eneo.

Argument ya mwanamke ni hii, kwamba hilo zoezi ni la malaya, yeye ni mke na sio malaya. Mwanaume akamuuliza, mbona kabla ya ndoa alikuwa anamnyonya Kwa ujuzi wa hali ya juu? Mwanamke akamjibu, alifanya hivyo kwasababu alimuona mwanaume anapenda sana hicho kitu so akalazimika amfanyie (lakini nyuma ya pazia ni kama alimaanisha alimnyonya ili apate ndoa).

Mwanaume ikabidi akamuulize rafiki yake sana wa kiume, rafiki yake akamjibu yeye mkewe anamnyonya kabla na baada ya ndoa, kwasababu kile kitendo kinachochea hamu ya tendo. Jamaa ndio akazidi kuwa kichaa akidhani ananyimwa haki yake ya msingi.

Sasa swali langu kwenu wanandoa, hasa vijana, hivi kumuomba mkeo akunyonye ni kumvunjia heshima na kumfananisha na malaya au ni sehemu tu ya mapenzi/tendo?

Nadhani Kuna watu wanatamani kupata majibu sahihi kaka mimi.
Siyo sahihi, kama mume anataka kufika kileleni anaweza kufanya sex kawaida, kunyonya ni mambo ya upinde wameyaleta huku Afrika.
#Wanawake wenzangu msikubali kuchezea "microphone"
 
Usiponyonya watakunyonyea tu, hata mbuzi ananyonya na wanyama wengine wote lazima wabusu kwa ulimi, we jifanye mstaarabu tu ukidhani mkeo baada ya pete na cheti cha kasisi(kwa idhini ya mkoloni aliyetuletea toka Ulaya) kaondoka utu wake na hisia zimebadilika.

Ndo maana mnakuja jf kulaani wamama kumbe mmepunguza huduma, wakikutana na vijana huko barabarani wanakumbushwa ulichokuwa unampa akiwa chuo na things will never be the same again.
 
Ukienda kinyume na nature tu lazima upate matokeo yasiyotarajiwa!
 
Mi naona ni sawa ikiwa hakuna magonjwa ya kuambukizana.
 
Back
Top Bottom