1 Wakorintho 7:5
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Msingi wa mambo yote ni mapatano, kama alikunyonya ukiwa haujamuoa hana sababu ya kukataa baada ya kumuoa isipokuwa ni mapatano yenu, maana mambo ya chumbani yanabaki kwenu wawili. Lazima mpatane ni namna gani mtashiriki tendo la ndoa.
Na hii imekuwa kasumba ya wanawake wengi, wakiingia ndani ya ndoa basi wanaanza kuekti utakatifu, kumbe uongo ni kwamba wamekuwa wavivu labda kwa sababu hitaji lao la ndoa linakuwa limeshatimia hata style watakupa kifo cha mende pekee, wakat kabla ya hapo hata popo kanyea mbingu wanakuwekea