Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Alimkazia sana mwamba. Kwanza picha linaanza alimuweka mshkajI lock up siku kadhaa...dah Uche [emoji119][emoji119][emoji119][emoji1][emoji1]
Oyaa uche ni very serious aiseeeee...
Mi naweza sema nimefatilia movies za uche za kutosha....
Kwanza movie nyingi anakuaga very strictly...
Nahisi ile UCHENA MBUNABO ni production yake aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uuuuuuh
Ubwa wewe utakuja kuua mtu.[emoji23][emoji23]
Utafanya afate vidampaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kufata vidampaa ntamsindikiza na mie ktk package.

Mambo ya siriisamu, woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa kuongezea, wanawake huwa wanashindwa kujua mahitaji ya mume wake, au hujisahaulisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kufata vidampaa ntamsindikiza na mie ktk package.

Mambo ya siriisamu, woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sheeeenziiiii kabisa.
Mtoto hovyo wewe
 
Zipo mkuu.

Kuna waigizaji wapya wakina UCHE MONTANA, RAY EMODI, MAURICE SAM n.k, ni balaa! Wako vizuri mno [emoji91]
Nawakubalia pia ila sijui ndio nazeeka. Mimi nawakubali wa zamani zaidi kama kina Ramsey Noah, Omotola Jalade, kina Genevieve na wengineo.

Movies za sasa nyingi wanalipua lipua.
 
Ila coca una maneno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah!! Sasa unakuta anakuambia "shika bas chezea chezea isisimke"

Akat wee hata humkubali kivilee, bas unakamata unapalaza palaza km pedel ya baiskeri, isisimke au laah atajua yeye, km vipi aweke magadi iumuke, hata tusichoshane bhana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I think so, UCHENA TV
Yaaah yaaah basi mimi mkuu hawa viumbe nawafatilia ila pia unajua naiga wametuzidi kwenye uwandishi wa story..

Angalia movie za hawa watu unakuta movie hadi inaisha wahusika hawazidi watano na location ni kama tatu tu ila sasa humo ndani daaah

Kwenye cover zao kule youtube aiseee ni safiii zina vutia...
 
[emoji1787] Ila Coca akili zako.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Weeeeeeh ndo inavokuaga hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ