Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #321
Sema ukweli mkuu [emoji2][emoji2]Kwa upande wangu naamini sio sahihi na huwa sifanyi hata iweje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ukweli mkuu [emoji2][emoji2]Kwa upande wangu naamini sio sahihi na huwa sifanyi hata iweje.
Ah kabisa Mkuu, watu wenyewe hamtulii hata mfanyiwe nini kutwa kupwiyangaSema ukweli mkuu [emoji2][emoji2]
Weee kumbe na wewe ni mfatiliaji...Uchenna Mbunabo ni ding flani iv. Sidhani kama Uche Montana ana TV au maybe yuko mbioni
Yule mkaka wa jana, ameni turn on sanaaa. Yaan amenyooka balaa.Sheeenziiiii wewe.....
Sasa vipi ulimpata au maana na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Licha ya kuambiwa ana pete yule ila wapi ...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzetu na vigezo unavyo kumbe
Njo PM nikuapize [emoji1]Ah kabisa Mkuu
Jaman yaan mrejesho hadi nije Pm usinifanyie hivyo.Njoo PM basi [emoji1]
Onyi ana trako kubwa ila miguu na upaja hola....unamjua Deza the great??Chidi huwa simkubali kabisa kabisa wangu ni Eddie Watson, Ray Emodi, Maurice Sam,Onyii Alex, Ruth Kadiri. Wakiwepo hawa lazima movie niiangalie.
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]Yule mkaka wa jana, ameni turn on sanaaa. Yaan amenyooka balaa.
Kwan uliona jicho la kushoto lile la kengeza flan la kukonyezaaa? Yule kaka akinigusaa tyuu bas mishipa ya myege inashangilia na kufurahii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yulee lazima nimpateee, wee subirii, huwa sishidwi nikidhamiliaa jambo langu.
Jaman poleee dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko kwenye sehemu serious af umenichekesha....imenibidi nizibe mdomo we dada
Ah huna dogo 🤣Njo PM nikuapize [emoji1]
Wachaaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ya kufa nilishaambiwa sana toka kipindi hiko ila mpaka sasa nadunda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, PM haitii mimba [emoji23][emoji23]Jaman yaan mrejesho hadi nije Pm usinifanyie hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah huna dogo [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ntafungiwa ku comment ktk uzi husika, ila sio Ban ya jumlaa, NehiiiiKwani ukumbuki eeeeeh we jishaue tuu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yule mkaka wa jana, ameni turn on sanaaa. Yaan amenyooka balaa.
Kwan uliona jicho la kushoto lile la kengeza flan la kukonyezaaa? Yule kaka akinigusaa tyuu bas mishipa ya myege inashangilia na kufurahii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yulee lazima nimpateee, wee subirii, huwa sishidwi nikidhamiliaa jambo langu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashangazi watakuua!! Hivi jana hukumuona ktk zile picha?Ahahahahhah mda huo unamuona pua kapata mshangazi huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mume wa mtu kwan mie namtaka mke wake au yeye? Hata akitaka aje na mke wake km package sawa tyuu, siriisamu kwangu ni izee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una maneno hovyo wewe..
Bichwa huko alipo akija hapa sijui itakuaje jamni weeeeeh .
Kwahyo wewe kwa yule kaka huna la kusema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mume wa mtu yule.. kama upo tayari kukodiwa fuso waje kukuchamba sawa
Bado nipo nipo...Wachaaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashangazi ktk ufalme wa pua bureini.Bado nipo nipo...
Laana nilishapata kwa ndgu maana nao walijifanya kufatilia haya mambo yangu .
Nikasema mnapigia mbuzi gitaa siwezi acha...
Kesi iliwahi fika mpaka somewhere hivi ila wee mshangazi yana akili sana qmmk