Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Siyo busara hasa kwa wanandoa kunyonyana sehemu za siri.
Kwa dunia tuliyomo inayo kwenda kasi 360 km/ h. Inabidi wanandoa hivyo vitu mkubaliane kuifanya (ila siyo kufanya kinyume na maumbile). Ama sivyo siku mmoja wenu akateleza akaenda nje na kufanyika vitu ambavyo havipati nyumbani, Haki Mungu utampoteza mme au mke mazima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mume wa mtu kwan mie namtaka mke wake au yeye? Hata akitaka aje na mke wake km package sawa tyuu, siriisamu kwangu ni izee,

Kuhusu kuchambwa hata wasikodi fusso kupoteza gharama ya usafiri, nawafata mwenyewe had walipo tena napanda bajaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyoooo unachokitafuta utakipata wewe 😂😂😂😂
Utoamini maana ujakutana na mashangingi wewe
 
Weee kumbe na wewe ni mfatiliaji...
Mawazo yangu yote ile uchenna mbunabo ni ya uche...

Ila niliona movies flan hv kuna ile water mark ya uche tv nahisi tayari ana production
Maybe. Sema kila siku kuna maingizo mapya. Saiv kuna kazi ya kienyeji moja hiyo inaitwa Sarian Martin...she is good. Sema naona hawa youtube wanawekwa pretty girls and handsome men. Sa sijui wengine itakuaje. Kuna Osas Ighodaro, huyu anajua sema movie zake ni za kununua na sio za youtube
 
Onyii hajafanya maujanja kweli mana taqo lake huwa silielewi kabisa na mwenzake Uche Montana. Mataqo yanaburuzika.

Deza namfahamu ndio nae namkubali.
Hata mi naona hawa wawili Mturuki sijui Mchima kahusika. Kuna pisi kama Sarian Martin, Chioma Nwaoha...hawa ni ya kwao Og. Afu kuna kina Sonia Uche na Chinenye Nnebe...hawa hawana shida na mtu....and they are good
 
Back
Top Bottom