Hivi ni sahihi kwenda kazini ukiwa na dread?

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,569
Reaction score
24,812
Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread).

Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa kufanya kazi hasa mwanaume huku akiwa na dread?

Naomba kujua wakuu.

1628764755803.png

Ndiyo, kama Kampuni wateja wake wana Dread, basi ni vyema na mfanyakazi akawa na Dread.

Mfano kampuni kubwa ya kuzibua vyoo unataka mfanyakazi aende amenyoa vipi?
 
Hahahaha kwanini kampuni ya kuzibua vyoo na sio nyingine??
 
Kwa upande wa Serikali kuna dress code ambayo inafuatwa. Kuna baadhi ya mavazi na muonekano kama dreads haviruhusiwi. Pitia site ya Utumishi utaona. Mashirika binafsi yana miongozo yao pia
 
Oho, sawa nashukuru kiongozi.
 
Back
Top Bottom