OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Oho sawa, nashukuru kiongozi.Baadhi ya mashirika binafsi na ya kimataifa yanaruhusu lakini sio serikalini
Sawa sawa boss.Inatuhusiwa
Hahahaha kwanini kampuni ya kuzibua vyoo na sio nyingine??Ndiyo, kama Kampuni wateja wake wana Dread, basi ni vyema na mfanyakazi akawa na Dread.
Mfano kampuni kubwa ya kuzibua vyoo unataka mfanyakazi aende amenyoa vipi?
Kwanini dread na si kipara?Hahahaha kwanini kampuni ya kuzibua vyoo na sio nyingine??
Kwanini dread na si panki?Hahahaha kwanini kampuni ya kuzibua vyoo na sio nyingine??
Mambo mengi mkuu..Kwanini dread na si kipara?
Mambo mengi mkuu..kwanini dread na si panki?
Oho, sawa nashukuru kiongozi.Kwa upande wa Serikali kuna dress code ambayo inafuatwa. Kuna baadhi ya mavazi na muonekano kama dreads haviruhusiwi. Pitia site ya Utumishi utaona. Mashirika binafsi yana miongozo yao pia