Hivi ni sahihi mwanaume kumuhonga mwanamke aliyemzidi umri au wako sawa kiumri

Hivi ni sahihi mwanaume kumuhonga mwanamke aliyemzidi umri au wako sawa kiumri

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Jamani katika pitapita zangu nilikutana na mijadala huu watu wakizungumza .......

Hivi ikitikokea kijana wa kiume ukawa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri au mwanamke ambaye kiumri ni kama mnaringana tuu vilee ?

Hivi ni sahihi Kijana mwanamke aina hii uwe una muhonga maana kuna watu wanasema kijana kuishi na mwanamke aliyekuzidi umri halafu ukawa wewe ndo unamuhonga ni ujinga tuu bora yeye awe anakuhonga
 
Mkuu inategemeana mkuu....
Hamna cha kutegemea huo ni ulofa na upumbavu yaani mtaani kuna vibinti kibao vitoto vidogo vimetulia ETI ,

Unaenda kuangaika na magubegube yaani ujana wao wacheze na nani uzee wao wamalizie kwako wewe huo ni upumbavu NA ulofaa
 
Km umempenda kweli utamfanyia kila unachoona sahihi (kuhonga pia km unaona sahihi) hata awe na umri gan
 
Lol kweli Msela wa Manzese..... Mwanaume fanya majukumu yako hivi mnakua mnajisikiaje mwanamke anavyokupa pesa na wewe unaenda kabisa kutumia tena unakuta huyo mwanamke hana hata kazi.... vijana wa kiume mnatia aibu... lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kuhonga ndo uanaume wenyewe, vijana mmekuwa mayai mayai hamtaki kutoa pesa mnataka nyie ndo mpewe pesa, vaeni sketi wanaume halisi tutawahonga hata nyie.
 
Kuhonga ndo uanaume wenyewe, vijana mmekuwa mayai mayai hamtaki kutoa pesa mnataka nyie ndo mpewe pesa, vaeni sketi wanaume halisi tutawahonga hata nyie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tell them.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hamna cha kutegemea huo ni ulofa na upumbavu yaani mtaani kuna vibinti kibao vitoto vidogo vimetulia ETI ,

Unaenda kuangaika na magubegube yaani ujana wao wacheze na nani uzee wao wamalizie kwako wewe huo ni upumbavu NA ulofaa
Nyinyi wenyewe mnayatafuta hayo magube gube na wivu juu
 
Kuna sababu zinazofanya kijana Mdogo kuibuka na jimama wakati vibinti vikalii vipo.

Sasa hapo ndo watazamaji wanapojiuliza iweje dogo janja awe na jimama huku yy ndo mfadhili
Wakati jimama ndo linapaswa lilinde penzi kwa kumlea dogo janja.

Sawa na sugardady awe na kibinti kikalii eti kiwe chenyewe ndo kinalilea zee ni lazima zee lipalilie penzi hapo hakuna maswali mapenzi ni baada ya raha kujitosheleza.
 
Back
Top Bottom