Hivi ni sahihi mwanaume kumuhonga mwanamke aliyemzidi umri au wako sawa kiumri

Hivi ni sahihi mwanaume kumuhonga mwanamke aliyemzidi umri au wako sawa kiumri

Inategemea ntu na ntu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea uhitaji wako wa papuchi kwa muda huo kuna wengine wamezidi umri lakini watam unapewa hadi ule mtandao ambao 3g haishik vijijini unazama mwenyew mfukoni na kuzawadia ulichonacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sababu zinazofanya kijana Mdogo kuibuka na jimama wakati vibinti vikalii vipo.

Sasa hapo ndo watazamaji wanapojiuliza iweje dogo janja awe na jimama huku yy ndo mfadhili
Wakati jimama ndo linapaswa lilinde penzi kwa kumlea dogo janja.

Sawa na sugardady awe na kibinti kikalii eti kiwe chenyewe ndo kinalilea zee ni lazima zee lipalilie penzi hapo hakuna maswali mapenzi ni baada ya raha kujitosheleza.
Vibinti pia vya muhim na ni vitam sana ila kuchanganya radha pia ni muhimu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui tofauti kati ya kusaidiana kawaida na kuhonga mdau mmoja aniisaidie ili nijibu huu uzi.
 
Jamani katika pitapita zangu nilikutana na mijadala huu watu wakizungumza .......

Hivi ikitikokea kijana wa kiume ukawa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri au mwanamke ambaye kiumri ni kama mnaringana tuu vilee ?

Hivi ni sahihi Kijana mwanamke aina hii uwe una muhonga maana kuna watu wanasema kijana kuishi na mwanamke aliyekuzidi umri halafu ukawa wewe ndo unamuhonga ni ujinga tuu bora yeye awe anakuhonga
Mbona kwenye kuwaheshimu huwa hamuangalii umri mnataka mwanamke awaheshimu tu haijalishi mkubwa au mdogo? Mwanaume fanya majukumu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi yasivyotabirika siku hizi ndugu yangu ukipata hela za mwanamke we kula tu ...manake ukisema ujifanye unampa kila kitu mwanamke eti kisa we mwanaume unshangaa dharau zinaanza na unatafutiwa mwenzako so ukipata nafasi ya kuwa marioo we kuwa tu marioo wanawake wa zamani walikuwa wanajua maana yakugharamikiwa..siku hz unampa kila kitu bado ana kudharau,kibri,cheche

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibinti pia vya muhim na ni vitam sana ila kuchanganya radha pia ni muhimu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndo maana kila upande uliogundua makinikia ni Mali unatetea upande wake,

Vibinti ni vitamu haswaa, ndo maana unavipa vishawishi vikubali kutumia na sugardady na masugarmamy nayo kazi yao ni kulea penzi la madogo janja maana madogo hawachoki mwendo mwanzo ,kati na mwisho utasema gogo na mjusi
 
Jamani katika pitapita zangu nilikutana na mijadala huu watu wakizungumza .......

Hivi ikitikokea kijana wa kiume ukawa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri au mwanamke ambaye kiumri ni kama mnaringana tuu vilee ?

Hivi ni sahihi Kijana mwanamke aina hii uwe una muhonga maana kuna watu wanasema kijana kuishi na mwanamke aliyekuzidi umri halafu ukawa wewe ndo unamuhonga ni ujinga tuu bora yeye awe anakuhongaWe aseee
 
Back
Top Bottom