Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Umesema??????Hivi hili nalo linahitaji ushauri ? Basi kapake mi nimesema
Yeye ndo kanipangiaTuanze na wewe mwenyew kwanza .... unataka kufanya birthday ili iweje !!! Hizo viparty party waachie wanawake ,unaweza kutoka for dinner na beb wako or else yeye ndo akusurprise
Ila sio unaanza kupanga birthday yako itakuwaje......
We kibonge mzima ??? Mumeo akipaka lipstick na make up unaona sawa???Kwa dunia ya sasa 50/50
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa dunia ya sasa 50/50