Hivi ni sawa kwa mwanaume kupaka make-up?

Hivi ni sawa kwa mwanaume kupaka make-up?

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Kuna demu wangu amenitaka nipake make up kwenye birthday yangu, mimi nimekataa Sasa amenuna anasema mimi ni mshamba, mimi kupaka make up huwa naona kama ushoga hivi, hivi ni kwangu peke angu au Wanaume wote

Wanawake wa dar kazi kweli kweli

images%284%29.jpg
images%283%29.jpg
2Q%3D%3D.jpg
images%281%29.jpg
images.jpg
images.jpg
 
Aiseeee.. dume zima make up? Ya nini sasa?

Kwa dume shoga ni sahihi kupaka ila kwa dume rijali ni dhambi kubwa sana
 
Mwanaume umekaa kwenye lile jikofia la saloon za kike duu
 
hata diamond anapaka akiwa location aki shoot video, ray kigos anapaka akiwa location aki shoot movie.
sasa imategemea unapaka make up ya aina gani, ya kiume au yakike?
zipo za aina nyingi chaguo ni LA kwako mkuuu.
 
Tuanze na wewe mwenyew kwanza .... unataka kufanya birthday ili iweje !!! Hizo viparty party waachie wanawake ,unaweza kutoka for dinner na beb wako or else yeye ndo akusurprise
Ila sio unaanza kupanga birthday yako itakuwaje......
 
Yeye ndo kanipangia
 
uyo wa mwisho s jean claud van damme duh ad huyu mzee kickboxer anapaka asa na wewe s upake tu
 
Sijwahi,ila kama kwa ajili ya kutengeneza video n.k. sioni tabu,ina maana akimaliza ananawa uso then anarudia hali yake ya kiume..
 
mwanaume hafanyi make up ananua vitumbua anakula mafuta yatakayobaki mkononi ndio anapaka
 
Dame anapaka wanja?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] *****
 
Back
Top Bottom