Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #41
Unachosema bado kina ukakasiKatika hao watoto wengi uliolwisha chakata, kuna hata mmoja ulimfundisha kuvaa shanga au mautundu ya kunyanduana? Ukiona mwanamke kaja na vitu vipya kwenye kunyanduana haimaanishi kanyanduliwa huko akafundishwa. Hakuna mwanamme mwenye muda wa kumfunza mwanamke nini cha kufanya kitandani. Uwa wanajiongeza na kujaribu tuu vitu vipya, ama kutoka kwenye story zao au kwenye mind au hata mitandaoni. Dunia imepanuka, huko insta sikuhz kuna makungwi kama wote na magroup ya wasap wanafungua... Be a man. Hii comment nimeiandika nikiwa na usingizi. Mtanisamehe kama kunamakosa ya kiuandishi.
Ulishaangalia porn? Au ulishakwenda kwenye stripping club? Au ulishanunua webcam show?
Sasa Wale wanaoigiza ile michezo yao, namna wanavochezesha makalio etc... ile pale ni experience baada ya wao kufanya hivo vitu kwa muda mrefu. Na ndio hofu yangu kwamba huyo dem inawezekana kachezeshwa sana hio michezo hadi akawa fundi na akaanza kujaribu mambo mengine, hio ndo hofu yangu.
Wewe mwenyewe umesema wanajifunza kwa kujiongeza, hio ndo experience sasa baadavya encounters kadhaa, that means inawezekana kafanya sex na watu tofauti na kujaribu namna tofauti tofauti along the way. Bado hujanishawishi kwa hio hoja chief