Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Uwekezaji nao inategemea mkuu, jamaa kapanda miti yake ya mbao huko Mafinga umekomaa baada ya miaka dahari kavuna kauza kapata milioni zaidi ya 300. Mara paaa fwedha imedakwa yote huko kwa akaunti.Aisee ukiangaika na Elimu ya Tanzania unaweza kupata uchizi, wekeza kwenye ufugaji unaweza kutoboa maana hakuna kodi huku
Ndio maana nakwambia wekeza kwenye ufugajiUwekezaji nao inategemea mkuu, jamaa kapanda miti yake ya mbao huko Mafinga umekomaa baada ya miaka dahari kavuna kauza kapata milioni zaidi ya 300... Mara paaa fwedha imedakwa yote huko kwa akaunti.
Anzisha mada hii, acha kuvuruga uzi wenye mjadala mzuri kwa Taifa letu. Nafuga pia nikujulishe, ila sijigambi.Aisee ukiangaika na Elimu ya Tanzania unaweza kupata uchizi, wekeza kwenye ufugaji unaweza kutoboa maana hakuna kodi huku
Kwa kweli nimechanganyikiwa. Hivi somo la historia lilishafutwa na ndipo sasa inatakiwa lifundishwe? Au Mimi sikumwelewa mfalme?Naam masomo yatakuwa mawili, la mwanzo litabaki kama lilivyo na hili jipya litaitwa Historia Tanzania na ndilo litakalo fundishwa kwa kiswahili na litasheheni historia yetu tu kama Taifa.
Anzisha mada hii, acha kuvuruga uzi wenye mjadala mzuri kwa Taifa letu. Nafuga pia nikujulishe, ila sijigambi.
Chonchonde msivuruge hii mada. Aanzishe mada za ufugajiAnzisha mada hii, acha kuvuruga uzi wenye mjadala mzuri kwa Taifa letu. Nafuga pia nikujulishe, ila sijigambi.
Embu tusubiri January tujue watoto wetu watasoma kipi.Physics with Chemistry
History vs Historia ya Tanzania.
Huu ni upumbavu mtupu
Physics with Chemistry
History vs Historia ya Tanzania.
Huu ni upumbavu mtupu
Halijafutwa kama nilivyoeleza, lipo pale pale ila lile limebeba mambo mengi ya mataifa tofauti duniani.Kwa kweli nimechanganyikiwa. Hivi somo la historia lilishafutwa na ndipo sasa inatakiwa lifundishwe? Au Mimi sikumwelewa mfalme?
Hili taifa letu limelogwa, taifa lolote linalochezea elimu haliwezi kuendeleaPhysics with Chemistry
History vs Historia ya Tanzania.
Huu ni upumbavu mtupu
Ni hatari sana yote haya yanafanyika kwa sababu ya upumbavu wa mtu mmoja tu.Hili taifa letu limelogwa, taifa lolote linalochezea elimu haliwezi kuendelea
Mkuu subiri watu wengine wasema kama mjadala ni mzuri au sio mzuri, usiseme wewe mwenyewe ulieanzisha uzi.Anzisha mada hii, acha kuvuruga uzi wenye mjadala mzuri kwa Taifa letu. Nafuga pia nikujulishe, ila sijigambi.
Hili taifa letu limelogwa, taifa lolote linalochezea elimu haliwezi kuendelea