Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hiki ndicho anachokitaka Jiwe.Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hitler alifanya kitabu cha Mein Kempfr kisomwe mashuleni na itikadi za kinazi na hili la jiwe nalo litajaa mambo ya ccm na jiwe.
Naupa muda nafasi kuona huo ushenzi.
Naumia sana kuishi ujana wangu chini ya utawala wa jiwe.