Hivi ni Somo la Historia litafundishwa rasmi kwa Kiswahili au kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku Somo la Sasa likibaki Kama kawaida?

Na nchi hii masomo ya science ndo wanafeli Sana hzo juhudi za kuongezea history juu ya history kwanini wasiwekeze kwenye hata kuajiri walimu wa science,na kama ulivosema dunia ina badilika KWA Kasi ya 5g huku sisi tukihangaika na history ambayo itakuwa duplication tena KWA kurudia kwa kiswahili. Mama ndalichako licha ya kuwa prof ila ubunifu zero sema na rahisi anafikiria kuwa prof ni kuwa na akili na mtendaji
 
[emoji1756][emoji1319][emoji1303]
Hivi waziri alishindwa kujadiliana na Rais kuhusu hili?
Hawa wateule wao ni ndio tu KWA Raisi hawana ubunifu Mimi sioni umuhimu wao Kama kila lazima waelekezwe na Raisi na hawana Cha kushauri
 
Humo itasomwa CCM nawakombozi wawili NYERERE na mwingine sijui nani.

Sifa zitajazwa humo
Tunataka kujua habari za wapigania uhuru wengine wanaofichwa kwa uchoyo na ubinafsi wa Mwalimu ...............
 
Kuna haja ya kuwa na taasisi imara na sio kufata hisia za mtu mmoja, mbona marekani walimnyoosha Trump. Kufata matakwa ya mtu badala vision na future ya taifa ni hatari.
Labda miaka 100 ijayo huku Tanzania tutakuwa tumefika.
 
Watoto mashuleni wanafundishwa somo la TEHAMA kwa kutumia picha ya TV za kichogo halafu serikali inawekeza pesa kuleta mtaala wa somo ambalo tayari lipo
 
Hawa wateule wao ni ndio tu KWA Raisi hawana ubunifu Mimi sioni umuhimu wao Kama kila lazima waelekezwe na Raisi na hawana Cha kushauri
Tanzania bado ina safari ndefu sana
 
Tanzania bado ina safari ndefu sana
Miaka sitini ya Uhuru badala ya kujikwamua kiuchumi na umaskini viongozi wanafikiria kufundisha somo la historia tangu chekechea Hadi chuo kikuu kwa kiswahili huo eti ni ubunifu wakati wizara ya elimu ina machangamoto makubwa ambayo hayajatatuliwa
 
Watoto mashuleni wanafundishwa somo la TEHAMA kwa kutumia picha ya TV za kichogo halafu serikali inawekeza pesa kuleta mtaala wa somo ambalo tayari lipo
Kwanini wasijenge masarasa yakutosha na walimu kuliko kuhangaika na historia ka shule iko ubungo Dar haikuwa na madawati sembuse kuhangaika na minor issue za SoMo la historia,mhhhh what a waste to our education lojhhhhh.
 
Safi sana maana tumepata awesome comb ya PCH na History
 
Kwanini wasijenge masarasa yakutosha na walimu kuliko kuhangaika na historia ka shule iko ubungo Dar haikuwa na madawati sembuse kuhangaika na minor issue za SoMo la historia,mhhhh what a waste to our education lojhhhhh.
Nia ya jiwe ni kusomwa yeye
 
Kwa kukusaidia
Hata waziri wa elimu mwenyewe ni naive na hajui contents ya hilo somo jipya la Historia hadi pale mwl mwenzake atakapomwambia nini kifundishwe.
 
Serikali inataka sasa wazazi waanze kupelela watoto Kenya kusoma Kama zamani. Nikiwa form one tulianza kusoma physics with chemistry
Ukamaliza kidato cha nne mwaka 2009
 
Kuna haja ya kuwa na taasisi imara na sio kufata hisia za mtu mmoja, mbona marekani walimnyoosha Trump. Kufata matakwa ya mtu badala vision na future ya taifa ni hatari.
Sasa IQ za wamarekani utafananisha na IQ za watanzania ?

Kwenye nini labda tunafanana.

Labda labda tunafanana kwenye kushiriki porn industry through bongo muviz japo huku haipo wazi kama kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…