Hivi ni uchawi, ujinga au upumbavu?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kuna kitongoji kimoja huko mashariki ya kati wamekaa viongozi wao ambao ndio wasomi, ndio wenye uono wa mbali, ndio ma genius.
Hao viongozi kwa pamoja wanashangalia na kushinikiza kitongoji chao kiendelee kutawaliwa na malkia kutoka kitongoji jirani.
Aisee hapa uchawi umehusika.
 
Na huyo malkia amefanya shambulio la kushtukiza dhidi ya waliokuwa wanapanga mipango ya kumuondoa huyo malkia mamlakani
 
Kwan katiba ya hicho Kijiji unasemaje?? Utaratibu wa kua mwenyekiti ukojee???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…