Hivi ni ulimbukeni au ni hasira

Hivi ni ulimbukeni au ni hasira

radiation

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
241
Reaction score
254
jamani hivi hawa jamaa wanaosubiri post nikutokuelewa au? kila siku ndani ya jukwaa unakuta new thread zaidi ya 5 ambazo zinaulizia post zinatoka lini hivi mnaona raha sana kupost au ni ulimbukeni tayari kuna thread ambazo zimetolewa ufafanuzi lakini cha kushangaza mtu anabadilisha tu headline na kuuliza kitu kilekile acheni huo ujinga mnajaza tu habari zisizo na maana
 
Ilishakuwa kero humu ndan!kwann mwenzio akiuliza we uckae kimya?
 
jamani hivi hawa jamaa wanaosubiri post nikutokuelewa au? kila siku ndani ya jukwaa unakuta new thread zaidi ya 5 ambazo zinaulizia post zinatoka lini hivi mnaona raha sana kupost au ni ulimbukeni tayari kuna thread ambazo zimetolewa ufafanuzi lakini cha kushangaza mtu anabadilisha tu headline na kuuliza kitu kilekile acheni huo ujinga mnajaza tu habari zisizo na maana

ufafanuzi gani uliotolewa.. Halafu si kuna moderators/adminstrators humu ndan kwanini wasideal na hzo thread ambazo we unaziita ni useless.. We fight for our right acha kutuongezea stress, hizi za Kawambwa znatutosha sana..
 
we bg ulfeli, acha 2liofaulu 2pate haki ye2!
 
ufafanuzi gani uliotolewa.. Halafu si kuna moderators/adminstrators humu ndan kwanini wasideal na hzo thread ambazo we unaziita ni useless.. We fight for our right acha kutuongezea stress, hizi za Kawambwa znatutosha sana..

Hebu mpe makavu, choko huyo.
 
Back
Top Bottom