radiation
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 241
- 254
jamani hivi hawa jamaa wanaosubiri post nikutokuelewa au? kila siku ndani ya jukwaa unakuta new thread zaidi ya 5 ambazo zinaulizia post zinatoka lini hivi mnaona raha sana kupost au ni ulimbukeni tayari kuna thread ambazo zimetolewa ufafanuzi lakini cha kushangaza mtu anabadilisha tu headline na kuuliza kitu kilekile acheni huo ujinga mnajaza tu habari zisizo na maana