Hivi ni usafiri gani wenye uhakika kwa usalama kupita mwingine?

Hivi ni usafiri gani wenye uhakika kwa usalama kupita mwingine?

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Naomba kuuliza swali kwa Wana JF ✍🏾

Hivi ni usafiri gani wenye uhakika kwa usalama kupita mwingine?

(a) Gari
(b) Treni
(c) Boti au meli
(d) Ndege
 
Siku ikifika utajikwaa hata mlangoni na kuanguka na kufa , kikubwa tuishi kama tutaishi milele .
 
Hata ukitembea pekeako tu haina usalama mkuu, hvo ka ukijua siku zako zinahesabika.
 
japo ajali haina kinga ila ndege na treni walau kidg ziko safi.
 
Inategemea na unakwenda wapi, mfano ukiwa unaenda Zanzibar bc usafiri salama ni bodaboda
 
Naomba kuuliza swali kwa Wana #JF ✍🏾
Hivi ni usafiri gani wenye uhakika kwa usalama kupita mwingine?
(a) Gari
(b) Treni
(c) Boti au meli
(d) Ndege
Takwimu zinaeleza usafiri wa anga ndio usafiri salama kuliko usafiri mwingine wowote.
 
Kimsingi siku ambayo ni ya balaa ni balaa tu. Ila kitaalamu zaidi kati ya vyote ulivyo orodhesha ni usafiri wa Ndege ndiyo unaaminika ni salama zaidi.

Kwasababu kabla ya ndege kupaa hufanyika check ups nyingi sana na wataalamu wabobevu.

Kuna kimoja hapo check ups zake siyo vyema kuzungumzia hasa nchi zetu za kiafrika dah watu hawapo serious kabisa.
 
Naomba kuuliza swali kwa Wana #JF ✍🏾
Hivi ni usafiri gani wenye uhakika kwa usalama kupita mwingine?
(a) Gari
(b) Treni
(c) Boti au meli
(d) Ndege
Umenikumbusha swali kwenye somo la ECONOMICS

MADA: ECONOMIC OF SCALE

WHICH IS MORE ECONOMIC TO TRAVEL WITH A CAR, TRAIN,BOAT, PLANE

ngoja nipate muda nikudadavulie
 
Back
Top Bottom