Hivi ni uzembe wa mdomo au maksudi?

Hivi ni uzembe wa mdomo au maksudi?

Mwalimu gfsonwin mchango wako uko poa.....
Kinachonikwaza sio mtu kukosea kuongea.....ni kukosea hadi kuandika....kwamba 'keyboards' zinachanganya? Au vidole navyo vinaadhiriwa na lugha mama.?

Namshukuru mwanzisha mada, ni vema tukaepuka makosa ya kizembe kwani makosa haya hatimae huwa mazoea.

Asubuhi na sio hasubuhi
Hujajibu na si ujajibu
Lori na si roli (huyu sijui hata anakua anwaza nini) nk.

Vinaadhiriwa = vinaathiriwa? We Mkenya?
 
  • Thanks
Reactions: RR
Nope...a stupid mistake!
Nahisi nilikua nawaza kosa la kuchanya dha na tha wakati naandika!!

Ha ha ha..nilidhani we ni Mkenya, kwa sababu Wakenya wao huwa hawana tha. Sasa sijui ni kabila fulani tu huko Kenya au vinginevyo.
 
Back
Top Bottom