Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Team rekebisha ruga...
Ni lugha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team rekebisha ruga...
Mie nafikiri tuanze VITA ya kuwakosoa watu kama hao hapa JUKWAANI ili wajirekebishe..
Tena mie naanzisha hiyo Team sasa hivi....
#TeamRekebishaLugha
Nakuunga mkono charminglady! Haya mambo ya 'mgonjwa wa marelia kabebwa na roli' yamenichosha hapa JF.Mie nafikiri tuanze VITA ya kuwakosoa watu kama hao hapa JUKWAANI ili wajirekebishe..
Tena mie naanzisha hiyo Team sasa hivi....
#TeamRekebishaLugha
charminglady [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamRekebishaLugha]#TeamRekebishaLugha [/URL] njoo Zamaulid anazidi kutibuwa afya ya kiswahili
Mbona hamjaanza na wale walopiga salio na kuweka mabango yanasomeka "Miaka 50 wa uhai wa Tanzania"
utafiti unaweza ukiwa unasoma ukaishia njiani mkuu ukishakutana hiyo takataka x badala sKibo10 afadhali hiyo kuliko 'xaxa' badala ya 'sasa'
Wapi Heaven on Earth??? Bibi kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha
Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri tuanze kuwapiga vita kuboresha lugha yetu ya kiswahili
Tulipiga vita X kuwa S na tumefanikiwa
Kuna mkuu anaitwa LEGE kaanzisha topic anaandika ABILIA wa makongo,Kaaribu utamu wa UZI jirekebishe MKUU
Usichukie mkuu LEGE hapa ni sehemu ya kurekebishana jombaa!
Inawezekana ni watu wavivu wa kubadilika huwezi kuwa kiongozi mkubwa wa nchi then unatumia kuongea au kuandika kwa mfano niliotoa hapo juu.
Tiba kama ulikuwa na mimi huyu jamaa kaaribu huo uzi mpaka nimeanzisha uzi wa kulalamika wajirekebishe eti (abilia)
View Profile: Kibo10 - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
mkuu umeanzisha uzi kwambwembwe kweli nakujifanya unajua na hukun nawe ni debe tupu? onasasa unavyoandika takataka
mkuu nimekupata haina shida mkuu pamoja sana siwezi chukia au kasirika kwa kurekebishwa.
na kamwe sina ndoto ya kuwa kiongozi hata wa mtaa au nyumba 10 zaidi ya kuwa kiongozi wa familia tuu kama baba.
hiki nikijitatizo chamakusudi sana sababu sio kwamba kuandika hivyo hatujui matumizi ya R na L lakini huwa makusudi tuu mkuu.
ni kama watu wanavyoamua kuandika x badala ya s.
wakuu malalamiko yenu yamefika na yanafanyiwa kazi. siunajua tena mazoea hujenga tabia??
harafu thread yenyewe nilikuwa naandika wakati nipo kwenye daladala foleni ya maana hasira za kucheleweshwa mwenge stendi basi taabu tupu.
mkuu Kibo10 nimefika mkuu pamoja sana mkuu nashukuru kwakunistua juu ya hili
Kiswahi kigumu kuliko kizungu mkuu
Ila mimi situmii x wala li na ra mjombaa
Hizo zinaweza kuku sababisha ukaacha kusoma uzi
Hahaha mkuu mwisho wa siku tumejifunza jombaa
Nashukuru kwa elimu fupi
Ila pia nimekuelimisha mkuu