yanapimwa mkuu ila Mush ilo lako daah sina uhakikaYn namaanish wanapima au wanafny vp ili kukupa thamn ya jiwe lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Samani =Ni neno linalo tambulisha vitu mfano wa viti , meza na kabati.Dogo ayo Ni mawe kwenye mchanga wala hayana samani yoyote katika madini kiufupi ni kokoto tuuh
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Haya sio madin bhn tyr nimefatilia kdg nipigwe mawe[emoji13][emoji14][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]
Ahsante sn[emoji1374] elimu ndg ,,,,,nayo n ishu Mimi nimefunzwa kutaft ela tuh[emoji38]Samani =Ni neno linalo tambulisha vitu mfano wa viti , meza na kabati.
Thamani=Ni neno linalo tambulisha ni kwa kiwango gani kitu kinafaa mfano madini , fedha na uhai.
《Caprichar o teu sorriso》
hahahahahhahahaha Mchaga na pesa ni kama mlokole na uzima wa milele.Haya sio madin bhn tyr nimefatilia kdg nipigwe mawe[emoji13][emoji14][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]
Sent using Jamii Forums mobile app
typing error,kwako ONI SIGLLASamani =Ni neno linalo tambulisha vitu mfano wa viti , meza na kabati.
Thamani=Ni neno linalo tambulisha ni kwa kiwango gani kitu kinafaa mfano madini , fedha na uhai.
《Caprichar o teu sorriso》