Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Umeupdate?Hello my friend's
Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini?
Nimejaribu kuupdate ila bado
Nimejaribu pia inaniletea mauza uzaJaribu kuifuta na kuinstall upya
Ndio nUmeupdate?
Duuh,. Ni WhatsApp ipi unatumia?Nimejaribu pia inaniletea mauza uza
Naona hata kwangu ina shida ukiwa una upload picha inachukua zaidi ya dk 1 halafu simu yangu na line ninayotumia ni 5GDuuh,. Ni WhatsApp ipi unatumia?
Heeey,. Mie naona huo upepo bado haujanipitiaNaona hata kwangu ina shida ukiwa una upload picha inachukua zaidi ya dk 1 halafu simu yangu na line ninayotumia ni 5G
Unakera mnoo ni siku ya tano sasa πππHeeey,. Mie naona huo upepo bado haujanipitia
Tumia VPNNaona hata kwangu ina shida ukiwa una upload picha inachukua zaidi ya dk 1 halafu simu yangu na line ninayotumia ni 5G
Kuboresha app yako kwa Kila toleo jipya ndio maana ya updateNdio n
Wewe unatumia nini mkuuHivi bado mnatumia hiyo apkπππ
Ila Vincenzo bwana we unatumia niniHivi bado mnatumia hiyo apkπππ
Update tatizo la picha wametatuaNaona hata kwangu ina shida ukiwa una upload picha inachukua zaidi ya dk 1 halafu simu yangu na line ninayotumia ni 5G
Telegram mkuuIla Vincenzo bwana we unatumia nini
Na update mara 3 kwa wiki applications zoteUpdate tatizo la picha wametatua
Ingia playstore update app yakoHello my friend's
Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini?
Nimejaribu kuupdate ila bado
Sasa mkuu telegram yenyewe inazingua kinomaaTelegram mkuu