Hivi ni WhatsApp leo inashida gani?

Hivi ni WhatsApp leo inashida gani?

Nunua simu kama bado tatizo linaedelea

Anyway backup chats zote kwenye cloud then ingia setting clear app data and cache then uninstall (dont keep any data) then re install app restore backup

Ushauri wa kununua simu mpya utakuwa bora kama simu yako ina android 10 kushuka chini au ios 16 kushuka chini

Pia hakikisha unastorage kwenye simu yako na muunganisho wa uhakika acha kutumia mitandao ya ajaub ajab kama halo
 
Camera ukiwa unapiga picha inawakawaka tu ata sijui nimegusa wap
 
Back
Top Bottom