Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza

The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo unaoelezea stori ya mwanamke anayeitwa Rebekah aliyeolewa na mwanaume anayetoka kwenye familia ya kitajiri na Bill Harkness. Rebekah alijulikana kwa mwenendo wa maisha yake al alikuwa akiishi maisha ya kitajiri ya raha na starehe kwenye nyumba yao iliyoitwa 'Holiday house' ambapo starehe zake zilikuwa kero kwa majirani.
Baadae mumewe alifariki kwa sababu ya mshtuko wa moyo (heart attack) iliyopelekea watu, majirani kumshambulia kuwa kasababisha kifo cha mumewe.

Sasa mwaka 2013 Taylor Swift akanunua hiyo nyumba ikiwa ni baada ya miaka mingi ya Rebekah kufariki, kama kawaida Tylor naye ni mwanamuziki tena superstar ambapo kwa sifa yake alirejesha tena usumbufu kwa majirani zake mtaa kuwa wa hekaheka kwa sherehe na mapaparazi kujaa.



1774009499630.png
 
Back
Top Bottom