Hivi ni yupi mkweli?

Hivi ni yupi mkweli?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Nimekuta picha (kibonzo) hii katika wavuti ya JF, nikakumbuka hadithi moja niliyo simuliwa na MHENGA (babu yangu).

Akiwa safarini katika nchi moja ya Arabuni, alitembelea katika moja ya ofisi nyeti, kwa bahati mbaya/nzuri, alimkuta mwenyeji wake ametembelewa na Mgeni (nae kutoka nchi fulani ya Ughaibuni)

Wakati maongezi yakiendelea, alimsikia Mgeni akimuuliza Mwenyeji wake swali...
1cfd16fd0b549df8016267c2a2509276.jpg


"Hivi ni kwa nini mnawalazimisha wanawake zenu, kwa kuwapangia kuvaa vazi linalo fufunika mwili mzima"...!!

"Je amuoni kama huo ni Udhalilishaji"..!?

Mwenyeji alimjibu, "ni nani mdhalilishaji"
Kati ya sisi tunao waelekeza kuvaa, kusitiri mwili wake wote, na nyinyi mnao waruhusu kutembea UCHI...!!

Hii ni simulizi tu, tunaweza kuchangi...

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Kujisitiri ni jambo zuri la kupendeza jamii na Mungu pia..

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom