Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
asije akawa ni TF,utamnasa kweli TF? sijui,jaribu lakini maana kila mtu na bahati yake.
asije akawa ni TF,utamnasa kweli TF? sijui,jaribu lakini maana kila mtu na bahati yake.
What i like ni KUPENDWA,lakini KUPENDA ni KIBARUA kigumu!
Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...
wakukutania wapo ila utani wao mbaya huwezi lol.
Hivi mtu kukuelewa ni lazima akukubali???
Hawezi kua amekuelewa na bado akakukatalia kwasababu zake binafsi???
Ukiambiwa HAPANA jua ni hapana....usimng'ang'anie mshkaji kama ruba.Kwa maana nyingine move on maana mwisho utakua unamsababishia usumbufu tu!!!!
Dah! kaingia anga zako nini?