Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda

Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda

Khaaaa!!Kwani anakuongelea wewe???
Toba! hapana haniongelei mimi kabsaaa! mimi bila Lizzy ni sawa na Email bila password.
Hii sredi ingekuwa inaruhusu kuchakachua ningekudondoshea malyrics hapa hapa lakini acha nisepe tu wasje wakaanza mafitina yao
 
Hahahahahaha...habari ndio hiyo!!!
Wenye wivu wajinyonge!!!
 
Du...Hii ni isue tena...kama uko na conduct zake,mwambie wazi wazi usitumie misamiati.ukiona hakutaki basi ujue ana mwingine usipoteza muda trade your lave to someone who can buy it.I always biliv that we laern to love so learn to love the one learning to love.........there is no natural love my people.........
 
Kwani ushafikisha ujumbe kwake kuwa umemdondokea?dada (kama ni dada)hebu sema nae utulize jaka moyo lako.au toa jina hapa tukusaidie kumweleza.
 
Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake

We muongo tu huwezi mpenda mtu huijui sura yake na wala hujawai muona ur thread has contained nonsense
 
Sema nae usione soo, Mwambie I Love u my babyboy! Nadhan atakuelewa manake wanaume wanapenda kubembelezwa ati...
 
Hivi mtu kukuelewa ni lazima akukubali???
Hawezi kua amekuelewa na bado akakukatalia kwasababu zake binafsi???

Ukiambiwa HAPANA jua ni hapana....usimng'ang'anie mshkaji kama ruba.Kwa maana nyingine move on maana mwisho utakua unamsababishia usumbufu tu!!!!
Sio hivyo dada huyu kijana sio kwamba namsumbua
 
Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...

hahahahahaha! Tuko unaua mbavu zangu. Lol.
 
Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...

hehehehehee Tukooooooo!! Una vituko weye!!!
 
Sio hivyo dada huyu kijana sio kwamba namsumbua

Sasa kama ulishamwambia...akakusikia na kukupa jibu kwanini usimuelewe kwamba hataki kama ambavyo wewe unataka akuelewe?
Hembu mdondokeee Tuko hapo upoozwe moyo!
 
Jux tatizo wabana.... Mie niikwambia nikuunganishe uwe dada wa hiari hutaki.... Basi ngoja tujaribu one nite stand... Hio unataka??
 
Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
Pole sana Jux-nataka kukupa alert tu kuwa humu jf kuna marobot-ambao tunacommunicate nao but hawafaham kitu kupenda/kupendwa.
All in all-jaribu tena-u never know this time anaweza kubali-
 
khaaaa huyu dogo mbona 'katiuangusha' sana...
sasa iliyobaki kmaka zako 'tujitolee kumsitiri' dada wa watu tu.......
jux hebu ni pm.....
 
Sio hivyo dada huyu kijana sio kwamba namsumbua

ooohh masikini pole kwa maumivu ya mapenzi!! Ebu jipe mwisho wa kujaribu bahati yako ni lini, ukishauvuka na huo, basi itabidi uukubali tu ukweli na uendelee na 50 zako mpendwa!!
 
Jux tatizo wabana.... Mie niikwambia nikuunganishe uwe dada wa hiari hutaki.... Basi ngoja tujaribu one nite stand... Hio unataka??
AshaDii jamani mbona mie ni muelewa tu
 
Jux tatizo wabana.... Mie niikwambia nikuunganishe uwe dada wa hiari hutaki.... Basi ngoja tujaribu one nite stand... Hio unataka??

Simpatii picha huko aliko huyu mdada wa watu anavolia!! Yaani TF matongozo yote hayo lakini kala bati dah!! Vikishindikana vyote hivyo basi bwana mdogo ale kipapai mbwiiiiiiiiiiiiiiiiii........kwenye pochi ya jux, kudadeeeeeki hatoki!!!
 
Back
Top Bottom