klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Toba! hapana haniongelei mimi kabsaaa! mimi bila Lizzy ni sawa na Email bila password.Khaaaa!!Kwani anakuongelea wewe???
Toba! hapana haniongelei mimi kabsaaa! mimi bila Lizzy ni sawa na Email bila password.
Hii sredi ingekuwa inaruhusu kuchakachua ningekudondoshea malyrics hapa hapa lakini acha nisepe tu wasje wakaanza mafitina yao
Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
asije akawa ni TF,utamnasa kweli TF? sijui,jaribu lakini maana kila mtu na bahati yake.
Sio hivyo dada huyu kijana sio kwamba namsumbuaHivi mtu kukuelewa ni lazima akukubali???
Hawezi kua amekuelewa na bado akakukatalia kwasababu zake binafsi???
Ukiambiwa HAPANA jua ni hapana....usimng'ang'anie mshkaji kama ruba.Kwa maana nyingine move on maana mwisho utakua unamsababishia usumbufu tu!!!!
Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...
Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...
Sio hivyo dada huyu kijana sio kwamba namsumbua
Pole sana Jux-nataka kukupa alert tu kuwa humu jf kuna marobot-ambao tunacommunicate nao but hawafaham kitu kupenda/kupendwa.Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
unaua bendi sasa hapa jamaniWhat i like ni KUPENDWA,lakini KUPENDA ni KIBARUA kigumu!
Sio hivyo dada huyu kijana sio kwamba namsumbua
Jux tatizo wabana.... Mie niikwambia nikuunganishe uwe dada wa hiari hutaki.... Basi ngoja tujaribu one nite stand... Hio unataka??