rusesa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 538 Reaction score 234 Dec 6, 2014 #1 habar zenu wana jf. Mm nimetokea kumuoa mwalimu wa ngazi ya msingi. Je nianzie wapi katika swala la kumhamisha? Naomba msaada jaman. Nawasilisha.
habar zenu wana jf. Mm nimetokea kumuoa mwalimu wa ngazi ya msingi. Je nianzie wapi katika swala la kumhamisha? Naomba msaada jaman. Nawasilisha.
NGANU JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,919 Reaction score 393 Dec 6, 2014 #2 Mtafute mtu wa kubadilishana nae halmashauri. pia ungesema yuko wapi na wewe huko wapi ili wenye uhitaji wa kubadilishana nae waweze kufanya hivyo.
Mtafute mtu wa kubadilishana nae halmashauri. pia ungesema yuko wapi na wewe huko wapi ili wenye uhitaji wa kubadilishana nae waweze kufanya hivyo.
E EWM Member Joined Oct 26, 2014 Posts 77 Reaction score 29 Dec 6, 2014 #3 uko wap?Mi nlihangaika na bado cjafanikiwa
K kalikumutima Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 147 Reaction score 46 Dec 6, 2014 #4 Kaombe nafasi halmashauri unayotaka ahamie wakikubali kumpokea basi itabaki kazi ndogo tu ya kupitisha barua anakotoka
Kaombe nafasi halmashauri unayotaka ahamie wakikubali kumpokea basi itabaki kazi ndogo tu ya kupitisha barua anakotoka
K KoreaKaskazini JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 219 Reaction score 51 Dec 6, 2014 #5 yalimo said: habar zenu wana jf. Mm nimetokea kumuoa mwalimu wa ngazi ya msingi. Je nianzie wapi katika swala la kumhamisha? Naomba msaada jaman. Nawasilisha. Click to expand... ufafanuzi kidogo ili tujue ngazi ya msingi ili awe kwenye nyadhifa kama ipi??
yalimo said: habar zenu wana jf. Mm nimetokea kumuoa mwalimu wa ngazi ya msingi. Je nianzie wapi katika swala la kumhamisha? Naomba msaada jaman. Nawasilisha. Click to expand... ufafanuzi kidogo ili tujue ngazi ya msingi ili awe kwenye nyadhifa kama ipi??