Hivi nifanyeje kumhamisha mwalimu wa kike ngazi ya msingi?

Hivi nifanyeje kumhamisha mwalimu wa kike ngazi ya msingi?

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
habar zenu wana jf. Mm nimetokea kumuoa mwalimu wa ngazi ya msingi. Je nianzie wapi katika swala la kumhamisha? Naomba msaada jaman. Nawasilisha.
 
Mtafute mtu wa kubadilishana nae halmashauri.

pia ungesema yuko wapi na wewe huko wapi ili wenye uhitaji wa kubadilishana nae waweze kufanya hivyo.
 
Kaombe nafasi halmashauri unayotaka ahamie wakikubali kumpokea basi itabaki kazi ndogo tu ya kupitisha barua anakotoka
 
habar zenu wana jf. Mm nimetokea kumuoa mwalimu wa ngazi ya msingi. Je nianzie wapi katika swala la kumhamisha? Naomba msaada jaman. Nawasilisha.

ufafanuzi kidogo ili tujue ngazi ya msingi ili awe kwenye nyadhifa kama ipi??
 
Back
Top Bottom