ni kweli kabisa mkuuMkuu hozee ya kweli hayo kitambo sana sijamuona humu mwanajukwaa mwenzetu mshabiki lialia wa yanga na arsenal.
Nambie kwanza unataka umwambiejeNipatie mkuu nimsalimie
Pamoja mkuu tupo pamoja [emoji2]Sio kimapenzi huyu ni mwanajukwaa mwenzetu
Leo nimeona uwepo wa mkuu The Bold kwenye nyuzi mbalimbali. Hivyo na uliyemuulizea we hope soon ataanza kuonekana jukwaani.Wakuu naomba kujua kama mwanajukwaa mwenzetu kama yupo mana kimya kingi isijekuwa nissan nyeupe ishamfuatilia kimya kimya.
Nawasilisha.